WAKATI usajili wa Abdi Banda kutoka Sauzi kutimkia Dodoma Jiji ukiendelea kuwa gumzo, beki huyo mzawa ameeleza sababu za kurejea nyumbani.
KOCHA wa Tanzania Prisons, Amani Josiah amesema mapumziko ya Ligi Kuu Bara yamemsaidia kupata muda wa kuwaangalia wachezaji ...
BEKI wa kati wa zamani wa Singida Black Stars anayeichezea Crawley Town ya Uingereza, Benjamin Tanimu amempongeza Mnigeria ...
KLABU ya Stand United ‘Chama la Wana’ ya Shinyanga iko hatua za mwisho za kumalizana na Kocha wa Fountain Gate Princess, Juma ...
DILI la mshambuliaji aliyekuwa Pamba Jiji, George Mpole la kutimikia Singida Black Stars, limefia njiani mara baada ya Kagera ...
SIMBA inatarajiwa kurudi uwanja wa nyumbani keshokutwa Jumapili kuvaana na CS Constantine ya Algeria, huku kitendo cha ...
TUNARUDI UPYAAA. Ni kauli ya vigogo wa KenGold wakitambia kikosi walichokisajili katika dirisha dogo lililofungwa juzi kwa ...
ANGE Postecoglou ana rekodi mbovu Tottenham Hotspur kuliko makocha wa zamani wa timu hiyo, Jose Mourinho na Antonio Conte.
Uamuzi wa kusogezwa mbele fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (Chan) 2024 hadi Agosti mwaka ...
SIMBA inaendelea kujifua kwa ajili ya pambano la mwisho la Kundi A la Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine ya ...
WAKATI wengi wakidhani mpenzi wa msanii wa Bongo Fleva, Juma Mussa ‘Jux’ kutoka Nigeria, Princilla Ojo, amekuja nchini kwa ajili ya ndoa, lakini kilichopo ni mwanadada huyo amekuja kwa ...
Ndio, Yanga imemsajili mchezaji huyo kwa mkataba wa miaka miwili, lakini ni wazi hawezi kuitumikia timu hiyo katika mechi za ...