News

Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amefanya uteuzi wa mkuu wa mkoa na wakuu wa wilaya watano kufuatia baadhi ya waliokuwa wakishikilia nafasi hizo kuchukua fomu kwa ajili ya kuwania nafasi ...
Umaarufu, mvuto kwa wananchi na uzoefu wa muda mrefu ni miongoni mwa sifa zitakazowabeba baadhi ya watia nia huku uamuzi wa ...
Shule hiyo inamilikiwa na Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa ambapo Mwaihabi amehudumu kwa takribani miaka miwili, huku akisimamia ...
Amesema mashirika yanatakiwa kuzingatia sheria, kanuni na taratibu za nchi kwa kuwa makini na kutambua wanakwenda kufanya nini na miradi husika itakwenda kunufaisha vipi jamii za rika ...
Kwa mujibu wa Mwenyekiti wa CCM wa Kata ya Mbalawala, Athanas Sajilo, waliofariki ni Oscar Richard (19) na Andrea Chibago (19 ...
Uchaguzi wa mavazi ya kumkinga na baridi, afya na kinga ni mambo yaliyotajwa kuzingatiwa na mzazi anapomwandaa mtoto kwenda ...
Hatua ya Yemba kuchukua fomu hiyo inafikisha idadi wanachama wawili wa chama hicho kuania nafasi hiyo akitanguliwa na Kiwale ...
Wakati upande wa Jamhuri ukieleza hayo, Lissu amelalamikia kuendelea kuwekwa mahabusu ili asishiriki uchaguzi mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu.
Kesi mbili zinazomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, leo Jumanne Julai Mosi, 2025 ...
Ameijenga hoja hiyo, huku akirejea historia ya harakati zilizofanywa na wazee wakati wa kuiondoa Serikali ya kikoloni, ...
Amesema makusanyo hayo yameongezeka kwa asilimia 19.91, sawa na Sh143.122 bilioni, ikilinganishwa na makusanyo halisi ya ...
Nilisikiliza hotuba ya Rais Samia aliyotoa bungeni ile siku alipozindua rasmi utawala wake wa Awamu ya Sita, na pia ...