Mkoa wa Kagera, Seth Jacob Niyikiza, amefariki dunia nyumbani kwake mjini Bukoba, ambapo mwili wake ulipatikana ukiwa umeketi kitini ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi, tayari ukiwa umeanza kuharibika.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kagera, SACP Brasius Chatanda. Francis Butoto (64), mkazi wa Kijiji cha Kishanda, Kata ya Kibare, Tarafa ya Murongo, Wilaya ya Kyerwa mkoani Kagera, ameuawa na mwili wake ...
Kwa mujibu wa kaka yake, Laurent Seth mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Kagera mjini Bukoba, wakisubiri kufanyiwa uchunguzi ili kujua chanzo cha kifo chake. Mkazi wa Kata ...
TANGA:RAIS Samia Suluhu Hassan ameomba Shule ya Sayansi ya Wasichana ya Mkoa wa Tanga iliyopo Wilaya ya Kilindi aliiyoizinduliwa leo ipewe jina la aliyewahikuwa mbunge wa jimbo hilo Beatrice ...
ALIYEKUWA kocha mkuu wa Kagera Sugar, Melis Medo anayedaiwa kutemwa na timu hiyo kutokana na matokeo mabaya iliyonayo katika Ligi Kuu, amevunja ukimya kwa kuandika kilichomuondoa ndani ya timu hiyo ...
Mkata. Rais Samia Suluhu Hassan amesema dhamira ya ziara yake Mkoa wa Tanga ni kuona namna Sh3.1 trilioni zilizotolewa na Serikali zilivyotumika kutekeleza miradi ya sekta mbalimbali za maendeleo.
Kukamalika kwa maradi huu tunatarajia sasa kwa mkoa huu wa Mtwara na ukanda mzima wa kusini uchangamke zaidi kwani ajira zitakazopatiakana hapa hazitahusika tu watu wa mtwara bali hata kutoka nje ya ...
Kwenye Uwanja wa Sokoine Mbeya, KenGold iliyotoka sare ya bao 1-1, ugenini mechi ya mwisho mjini Tabora dhidi ya Tabora United, itaikaribisha Kagera Sugar, yenye kumbukumbu nzuri baada ya mchezo wa ...
Mzunguko wa Midia Multimedia: Fainali ya kikanda itakuwa swali la media titika jukwaani linalojumuisha miundo mbalimbali. Timu mbili za juu kutoka raundi ya mkoa wa Mumbai zitafuzu kwa Raundi ya ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results