KAGERA; UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Kagera, umezindua kampeni ya siku 16 maarufu kama SANEVO. Kampeni hiyo iliyozinduliwa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera, Faris ...
Mkoa wa Kagera, Seth Jacob Niyikiza, amefariki dunia nyumbani kwake mjini Bukoba, ambapo mwili wake ulipatikana ukiwa umeketi kitini ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi, tayari ukiwa umeanza kuharibika.
MAKUSANYO ya maduhuli ya Serikali kupitia Sekta ya Madini katika Mkoa wa Kagera yatokanayo na mrabaha, tozo na ada mbalimbali kwa mwaka wa fedha ulioanza Julai 2024/ 2025 ni Sh Bilioni 3.2. Kagera ...
Washtakiwa hao wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba, Mkoa wa Kagera na gari (Cruiser la TRA) chini ya ulinzi mkali wa jeshi la Polisi. Watuhumiwa wanaodaiwa kufanya biashara vinywaji ...
amewaonya viongozi wa chama hicho Mkoa wa Kagera kuacha tabia ya kuwakaribisha raia kutoka nchi jirani kufanya shughuli za kilimo katika maeneo ya Tanzania, akisisitiza umuhimu wa kulinda usalama wa ...
Wizara ya Afya iliripoti jumla ya visa viwili vilivyothibitishwa na visa vinane vinavyoshukiwa kutoka wilaya ya Biharamulo, mkoa wa Kagera. Mlipuko huo ulisababisha vifo vya watu 10, ikiwa ni pamoja ...
Kwa upande wa Simba, imebakiza mechi dhidi ya Yanga, Mashujaa, JKT Tanzania, Pamba Jiji, KMC, Singida Black Stars, KenGold na Kagera Sugar, huku ikiwa na mzigo mwepesi zaidi kwani katika duru la ...
Serikali ya mkoa wa Ishikawa inasema hadi kufikia Februari 25 mwaka huu, tetemeko hilo liliharibu zaidi ya nyumba 115,000 katika mkoa huo. Wakazi wa mkoa huo wanajaribu kurejesha maisha yao pamoja ...
Zaidi ya watu 100,000 wamekimbilia katika eneo la Lubutu huko Maniema kutoka eneo la Walikale katika mkoa wa Kivu Kaskazini kufikia Machi 14, Umoja w Matifa umesema siku ya Jumanne, Machi 18.
hadi mpaka kati ya mkoa wa Kivu Kaskazini na mkoa wa Maniema kulingana na Radio OKAPI. Kulingana na mashahidi, uporaji huo ni wa kiwango kikubwa: mifugo, bidhaa, maduka na vitu vya kibinafsi ...
Kijiji cha Okura katika Mkoa wa Yamagata kina takribani mita tatu za theluji katika majira ya baridi. Wakazi au wafanyakazi kutoka nyumba za wageni za chemchemi ya moto hujenga sanamu kubwa ya mtu ...