Mkoa wa Kagera, Seth Jacob Niyikiza, amefariki dunia nyumbani kwake mjini Bukoba, ambapo mwili wake ulipatikana ukiwa umeketi kitini ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi, tayari ukiwa umeanza kuharibika.
amewaonya viongozi wa chama hicho Mkoa wa Kagera kuacha tabia ya kuwakaribisha raia kutoka nchi jirani kufanya shughuli za kilimo katika maeneo ya Tanzania, akisisitiza umuhimu wa kulinda usalama wa ...
Washtakiwa hao wamefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi Bukoba, Mkoa wa Kagera na gari (Cruiser la TRA) chini ya ulinzi mkali wa jeshi la Polisi. Watuhumiwa wanaodaiwa kufanya biashara vinywaji ...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Kagera imewafikisha Mahakamani wafanyabiashara watano na kuwafungulia mashtaka tisa ya uhujumu uchumi ikiwemo kukwepa kulipa kodi zaidi ya shilingi milioni ...
kila wilaya ili kuendelea kutoa uzoefu kwa vijana wengi Mkoa wa Kagera kuendelea kujiajili na kuajiliwa huku akiwataka viongozi waliopewa dhamana na wananchi wao kuendelea kufanya ubunifu wa ...
hadi mpaka kati ya mkoa wa Kivu Kaskazini na mkoa wa Maniema kulingana na Radio OKAPI. Kulingana na mashahidi, uporaji huo ni wa kiwango kikubwa: mifugo, bidhaa, maduka na vitu vya kibinafsi ...
Umoja wa Mataifa na zaidi ya washirika 100 wamezindua Mpango wa Majibu ya Pamoja 2025-26 ili kukabiliana na mzozo mkubwa unaowakumba wakimbizi wa Rohingya, na wanaomba "dola milioni 934.5 katika ...
pamoja na ramani ya Afrika inayojumuisha Ethiopia kama jirani ya kusini mwa Sudan. Sudan iko kaskazini-mashariki mwa Afrika na ni mojawapo ya nchi kubwa zaidi barani, ikiwa na ukubwa wa karibu ...
Fatima anaonekana kukasirika anapompakata mwanaye mwenye umri wa miaka miwili, ambaye ana madoa doa ya kuungua na ngozi iliyobadilika rangi usoni na miguuni mwake. Mwanamke huyo mwenye umri wa ...
Leo Machi 25 dunia inaadhimisha Siku ya Kimataifa ya Kumbukumbu ya Waathirika wa Utumwa na Biashara ya Watumwa ya Bahari ya Atlantiki, ikiwakumbuka mamilioni ya Waafrika walioteswa, kunyanyaswa, na ...
Shirika la Umoja wa Mataifa la kupambana na ukimwi UNAIDS leo limeonya kwamba kusitishwa kwa ufadhili wa Marekani sio tu janga kwa vita dhidi ya gonjwa hilo bali ni chachu ya vifo na ongezeko la ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results