KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Alphonse Mabula aliyekuwa akicheza FK Spartak Subotica ya Serbia, amejiunga na Shamakhi FK ...
BEKI wa kati wa zamani wa Singida Black Stars anayeichezea Crawley Town ya Uingereza, Benjamin Tanimu amempongeza Mnigeria ...
KOCHA wa Tanzania Prisons, Amani Josiah amesema mapumziko ya Ligi Kuu Bara yamemsaidia kupata muda wa kuwaangalia wachezaji ...
KLABU ya Stand United ‘Chama la Wana’ ya Shinyanga iko hatua za mwisho za kumalizana na Kocha wa Fountain Gate Princess, Juma ...
REAL Madrid inafanya mchakato wa kumsajili beki wa kati wa Arsenal na Ufaransa, William Saliba dirisha lijalo la kiangazi.
MANCHESTER United imepindua meza na kuichapa Southampton shukrani kwa hat-trick ya dakika za jiooni ya Amad Diallo, lakini ...
ANGE Postecoglou ana rekodi mbovu Tottenham Hotspur kuliko makocha wa zamani wa timu hiyo, Jose Mourinho na Antonio Conte.
TUNARUDI UPYAAA. Ni kauli ya vigogo wa KenGold wakitambia kikosi walichokisajili katika dirisha dogo lililofungwa juzi kwa ...
DILI la mshambuliaji aliyekuwa Pamba Jiji, George Mpole la kutimikia Singida Black Stars, limefia njiani mara baada ya Kagera ...
SIMBA inatarajiwa kurudi uwanja wa nyumbani keshokutwa Jumapili kuvaana na CS Constantine ya Algeria, huku kitendo cha ...
Uamuzi wa kusogezwa mbele fainali za mataifa ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza ligi za ndani (Chan) 2024 hadi Agosti mwaka ...
SIMBA inaendelea kujifua kwa ajili ya pambano la mwisho la Kundi A la Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya CS Constantine ya ...