KAGERA; UMOJA wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), Mkoa wa Kagera, umezindua kampeni ya siku 16 maarufu kama SANEVO. Kampeni hiyo iliyozinduliwa na Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Kagera, Faris ...
Mkoa wa Kagera, Seth Jacob Niyikiza, amefariki dunia nyumbani kwake mjini Bukoba, ambapo mwili wake ulipatikana ukiwa umeketi kitini ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi, tayari ukiwa umeanza kuharibika.
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi CCM (UVCCM), Mkoa wa Kagera, Faris Buruhan ... Faris ametoa kauli hiyo, jana, wakati akizungumza na baadhi ya vijana wa chama hicho, mjini Kayanga ...
Kwa mujibu wa kaka yake, Laurent Seth mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Kagera mjini Bukoba, wakisubiri kufanyiwa uchunguzi ili kujua chanzo cha kifo chake. Mkazi wa Kata ...
Wizara ya Afya iliripoti jumla ya visa viwili vilivyothibitishwa na visa vinane vinavyoshukiwa kutoka wilaya ya Biharamulo, mkoa wa Kagera. Mlipuko huo ulisababisha vifo vya watu 10, ikiwa ni pamoja ...
MWENYEKITI Jumuiya ya Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera Faris Buruhan amewataka wananchi wa Wilaya ya Ngara mkoani kagera kutowachagua viongozi waongo wasioweza kuleta ...
Serikali ya ... wa MVD. Hivyo basi, leo Machi 13, 2025, ninatangaza rasmi kumalizika kwa mlipuko wa MVD nchini,” amesema Mhagama. Januari 20, 2025, Rais Samia Suluhu Hassan, alitangaza uwepo wa ...
MSAFARA wa Pamba Jiji uliokuwa unatoka Dodoma kwenda Morogoro kwa ajili ya mchezo wa hatua ya 32 Bora wa Kombe la Shirikisho la CRDB (FA) dhidi ya Kiluvya United, umepata ajali alfajiri ya jana na ...
Lakini hii ina maana gani? "Miili ilipelekwa katika kambi ya kijeshi, kwenye kambi ya mkoa wa nne wa kijeshi. Miili ilipelekwa huko na mpaka sasa hivi, hatujui miili hii ilikwenda wapi ...
Haya ni mahojiano ambayo yanazua kelele nyingi nchini Iran. Mohsen Rafighdoost, waziri wa zamani wa Walinzi wa Mapinduzi (1982-1988), mrengo wa kijeshi wa utawala nchini Iran, amekiri hadharani ...
Kama yangetekelezwa, yangeunda taifa la Palestina kwa zaidi ya asilimia 94 ya Ukingo wa Magharibi. Ramani aliyokuwa ameiandaa Ramani Olmert sasa ni kama hadithi. Tafsiri mbalimbali zimeonekana kwa ...
Rais wa Taiwan Lai Ching-te anasema utawala wake utafanya kazi kurejesha mfumo wa mahakama ya kijeshi. Amesema hiyo ni sehemu ya juhudi za kukabiliana na vitisho vya China vinavyotokana na ...