Mkoa wa Kagera, Seth Jacob Niyikiza, amefariki dunia nyumbani kwake mjini Bukoba, ambapo mwili wake ulipatikana ukiwa umeketi kitini ndani ya nyumba aliyokuwa akiishi, tayari ukiwa umeanza kuharibika.
MWENYEKITI wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi CCM (UVCCM), Mkoa wa Kagera, Faris Buruhan ... Faris ametoa kauli hiyo, jana, wakati akizungumza na baadhi ya vijana wa chama hicho, mjini Kayanga ...
MWENYEKITI Jumuiya ya Umoja wa Vijana Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Mkoa wa Kagera Faris Buruhan amewataka wananchi wa Wilaya ya Ngara mkoani kagera kutowachagua viongozi waongo wasioweza kuleta ...
SHIRIKA la Agrithaman kwa kushirikiana na Shirika la Kimataifa Global Alliance for Improved Nutrition (GAIN) linalojihusisha na maswala ya lishe wameandaa ... na uhifadhi mbaya wa vyakula wanatokea ...
Rais wa Taiwan Lai Ching-te anasema utawala wake utafanya kazi kurejesha mfumo wa mahakama ya kijeshi. Amesema hiyo ni sehemu ya juhudi za kukabiliana na vitisho vya China vinavyotokana na ...
Baada ya miaka miwili ya mzozo, Sudani sasa inakabiliwa na janga kubwa na baya zaidi la kibinadamu duniani. Hivi ndivyo Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limebainisha siku ya Alhamisi ...
Angola imetangaza jana jioni katika taarifa ya ikulu ya rais kwamba mazungumzo ya amani ya moja kwa moja yatafanyika Jumanne, Machi 18, mjini Luanda kati ya wajumbe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ...
Anaweza kusikia kila hatua ya wachezaji wake, kila mguso wa mpira, na kila nafasi inayojitokeza uwanjani. Mara nyingi anaonekana akisikiliza kwa makini huku akili yake ikibeba ramani ya uwanja ...
Na Asha Juma Chanzo cha picha, EPA Mazungumzo ya kuongeza muda wa usitishaji vita wa Gaza yameshindwa kufikia makubaliano, afisa mmoja wa Palestina ameiambia BBC, huku Marekani ikiishutumu Hamas ...
Kamanda wa Polisi mkoa wa Geita, Safia Jongo akizungumza wakati wa sherehe maalum za mtandao wa Polisi Wanawake Geita. Geita. Mauaji ya wanawake yanayotokana na matukio ya ukatili wa kijinsia mkoani ...
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), imetangaza mchakato wa uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura kwa Mkoa wa Dar es Salaam, unaotarajiwa kuanza Machi 17 hadi 20. Mkoa huo ndio wa mwisho ...
Na Winfrida Mtoi Simba Queens na Yanga Princess kesho Machi 18,2025 zinashuka dimbani katika mchezo wa Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara, kwenye Uwanja wa ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results